Msemaji wa Jeshi la police Tanzania SACP David Misime amekutana na waandishi wa habari kuzungumza maswala ya amani na utulivu wa nchi kwa kipindi cha mwaka 2020 kwa ushirikiano na kutoa elimu juu ya uhalifu katika nchi